BASATA wazifunda kampuni zinazoandaa mashindano ya Urembo

Baraza la Sanaa Tanzania (BASATA), limeyataka makampuni yanayoendesha mashindano ya urembo nchini kufata sheria, Kanuni na taratibu za mashindano ili kuweza kutenda haki kwa washiriki ili kuondoa manung’uniko ya upendeleo pamoja na kupanda mshindi anaestahili.

Hayo yamesemwa na Afisa Sanaa mwandamizi kutoka BASATA, wakati anazindua shindano la Miss Kinondoni 2024, ambapo amewasihi waandaji kuzingatia maadili kwenye mashindano ili kuweza kutoa viongozi ambao watakuja kuisimamia jamii

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *