Rais Dr. Samia Suluhu Hassan amewataka wananchi wanaoishi maeneo hatarishi yakiwemo ya mabondeni na pembezoni mwa moto kuondoka haraka ili kuepuka madhara ya mvua zinazoendelea kunyesha.
Tamko hilo linakuja ikiwa ni siku tatu tangu mvua za mawe zilizoleta mafuriko kuleta athari kwa wakazi mbalimbali nchini, hasa mikoa ya Dar es Salaam, Kilimanjaro na Njombe.