Categories

Do you have a Story?

Call us on 0677 644 444 to submit your news story or incident report!

Asake ameongoza kusikilizwa Zaidi mwaka 2023

Mtandao wa TurnTable Charts, kutoka Nigeria umetaja orodha ya wasanii waliosikilizwa zaidi  mkwenye vituo mbalimbali vya radio nchini humo kwa mwaka 2023, huku Asake akishika nafasi ya kwanza.

Nafasi ya pili kusikilizwa imeenda kwa. Ayra Starr nanafasi yatatu imeenda kwa  Davido na nne ni Rema tano ni BNXN 

Orodha kamili:-

  1. Asake – 8.4 billion 
  2. Ayra Starr – 8.1b
  3. Davido – 7.5b
  4. Rema – 7.4b
  5. BNXN – 6.4B
  6. Tiwa Savage – 5.8b
  7. Young Jonn – 5.7b
  8. Burna Boy – 5.6b
  9. Kizz Daniel – 5.5b
  10. Omah Lay – 5.3b

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *