Mwanaume mmoja raia wa Ivory Coast, Anselme Santos amelazimika kuomba msamaha kwa mke na watoto wake, baada ya kusambaa video zake mitandaoni akiwa anaomba namba mwanamke wa Senegal namba wakati wa mchezo wa AFCON.
Mtandao wa Africa Fact Zone umebainisha hayo na kueleza kuwa mwanaume alikuwa akiomba namba ila mrembo huyo alimkatalia.