
Rapa Rick Ross ameteketeza kiasi cha dola milioni 35 ambazo ni zaidi ya bilioni 88 za kitanzania kama gharama aliyonunua jumba lake la kifahari huko Star Island Miami.
Mkali huyo amefanya hivyo kwa kile anachodai na kuamini kuwa anataka muonekano wa nyumba anayotaka iendane na yeye pamoja na wakati.