Categories

Do you have a Story?

Call us on 0677 644 444 to submit your news story or incident report!

Aliyewahi kuwa Kocha wa Viungo wa Kikosi cha Simba Sc, Adel Zrane amefariki Dunia.

Aliyewahi kuwa Kocha wa Viungo wa Kikosi cha Simba Sc, Adel Zrane amefariki Dunia.

Taarifa ya kifo chake kimeripotiwa na baadhi ya vyombo vya habari vya nchini Rwanda , ambapo alikuwa akifanya kazi zake ikiwemo kuwa Kocha wa viungo wa Klabu ya APR ya Rwanda, ambayo iliyoshiriki Kombe la Mapinduzi ya Zanzibar Januari mwaka huu.

Akiwa na Simba amefanya kazi na makocha tofauti akianza na Patrick Aussems, Sven Vandebroeck na Didier Gomes ambapo alikuwa kipenzi cha mashabiki kwa namna alivyoifanya timu hiyo kuwa kwenye fiziki nzuri.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *