Diamond amwagia sifa Mh. Jokate

Staa wa muziki, Diamond Platnumz amemwagia sifa Kiongozi Mkuu wa Umoja wa Wanawake wa CCM Taifa (UWT) Jokate Mwegelo kwa kumuita “Jembe,Mbunifu,Mchapa kazi” wakati akimtakia Kheri ya kuzaliwa.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *