Aliyekuwa mpiga picha wa Harmonize anaomba ‘Michongo’

Aliyekuwa mpiga picha wa Harmonize, Jabulant amekiri kuondoka Konde Gang kwa sasa na kujitafuta kipekeake hivyo anaomba asinyimwe michongo.

“Sijasimama kufanya kazi na KondeGang ili ni Trend kwenye mitandao, but Nimesimama kufanya kazi KondeGang kwa Maslai ya Maisha Yangu, Ndio mana hujaona nimefanya interview yoyote kuzungumzia swala la Mimi kuacha kazi KondeGang, Na nimepost kwa sababu watu wajue kuwa sipo katika taasisi hiyo husika, Mimi ni kijana ninaejipambania maisha Yangu, So msisite kunipa kazi, I’m Free na ninaweza kufanya kazi na mtu yoyote”–Jabulant.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *