Categories

Do you have a Story?

Call us on 0677 644 444 to submit your news story or incident report!

Rais Museveni amewajibu Benki ya Dunia kuwanyima misaada.

Rais wa Uganda, Mh.Yoweri Museveni amejibu kauli ya Benki ya Dunia WB ya kutangaza kusitisha Ufadhili na Mikopo yote mipya iliyoombwa na Serikali hiyo, kutokana na Nchi hiyo kupitisha Sheria inayopinga Mapenzi ya Jinsia moja (Ushoga).

Museveni amesema “Inasikitisha kuona Benki ya Dunia na wahusika wengine wanathubutu kutulazimisha kuacha Imani, Utamaduni, Kanuni na Uhuru wetu kwa sababu ya Pesa. Hatuhitaji shinikizo kutoka kwa yeyote kujua jinsi ya kutatua matatizo yetu.”

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *