Categories

Do you have a Story?

Call us on 0677 644 444 to submit your news story or incident report!

Aachwa na mpenzi wake kwa kuweka maoni Facebook

Mwanaume mmoja nchini Nigeria, amelazimika kuhairisha kufanga ndoa na mpenzi wake baada ya mwanamke huyo kuacha maoni kwenye mitandao wa Facebook.

Mrembo huyo ameachwa kwa kujibu swali ambalo aliliulizwa kama anaweza kumsaliti mpenzi wake kwa dola 1,000,000 ambazo ni sawa na zaidi ya Shilingi Bilioni 2.4 za Kitanzania.

Baadae  mume mtarajiwa kuona post huyo ambayo bibie alionesha yupo tayari kumuacha mumewe kwaajili ya kupata kiasi hicho cha pesa, ndio mipango ya ndoa ikavunjuwa, kwani anadai mwanamke huyo anaweza msaliti kisa pesa.


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *