Mtandao wa TurnTable Charts, kutoka Nigeria umetaja orodha ya wasanii waliosikilizwa zaidi mkwenye vituo mbalimbali vya radio nchini humo kwa mwaka 2023, huku Asake akishika nafasi ya kwanza.
Nafasi ya pili kusikilizwa imeenda kwa. Ayra Starr nanafasi yatatu imeenda kwa Davido na nne ni Rema tano ni BNXN
Orodha kamili:-
- Asake – 8.4 billion
- Ayra Starr – 8.1b
- Davido – 7.5b
- Rema – 7.4b
- BNXN – 6.4B
- Tiwa Savage – 5.8b
- Young Jonn – 5.7b
- Burna Boy – 5.6b
- Kizz Daniel – 5.5b
- Omah Lay – 5.3b