Msanii Wa Muziki Na Mtangazaji Baba Levo Ameweka Wazi Kuchukua Rb Dhidi Ya Msanii Wa Muziki, Harmonize Kwa Kile Alichodai Kupigwa Na Msanii Huyo Usiku Wa Kuamkia Leo
Baba Levo Ameshare Rb Hiyo Katika Ukurasa Wake Wa Mtandao Wa Instagram.
Chanzo cha tukio hilo bado halijafahamika mpaka sasa hivyo endela kukaa nasi kujua nini kilijiri mpaka Harmonize amefanya tukio hilo.