Categories

Do you have a Story?

Call us on 0677 644 444 to submit your news story or incident report!

Chinno atangaza ndoa kwa kumvalisha pete mchuma wake

Usiku wa kuamkia leo staa wa muziki na Dansa Chino_kidd7 amemvalisha pete ya uchumba mchumba wake Maryem_sooly, tukio hilo limefanyika kisiwani Zanibar.


Kupitia ukurasa wa Instagram Mariam ameeleza namna anavyojisikia juu ya Chino baada ya kumvalisha pete hiyo..

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *