Usiku wa kuamkia leo staa wa muziki na Dansa Chino_kidd7 amemvalisha pete ya uchumba mchumba wake Maryem_sooly, tukio hilo limefanyika kisiwani Zanibar.

Kupitia ukurasa wa Instagram Mariam ameeleza namna anavyojisikia juu ya Chino baada ya kumvalisha pete hiyo..