Dkt. Emmanuel Nchimbi achukua mikoba ya Chongolo

Dkt. Emmanuel Nchimbi ameteuliwa kuwa Katibu Mkuu mpya wa Chama cha Mapinduzi (CCM).

Nchimbi anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Daniel Chongolo ambaye alijiuzulu.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *