Klabu ya soka ya Simba SC imemtambulisha rasmi mshambuliaji wake Pa Omar Jobe (25), ambaye ni raia wa Gambia aliyekuwa akikipiga klabu ya FC Zhenis Astana ya Ligi Kuu (Premier Liga) ya huko Kazakhstan kwa mkataba wa miaka miwili.
Contact Us
P. O. BOX 71, Shinyanga, Tanzania
+255 677 644 444
info@jambofm.co.tz