Rapa 50 Cent anataka haki kwa mtoto wake

Rapa 50 Cent ametajwa kufungua mastaka dhidi ya mzazi mwenzake Daphne Joy, akitaka kupatiwa haki ya muda wote ya malezi (Full Custody) ya mtoto wake wa kiume ‘Sire’.

Taarifa hiyo imeelezwa kupitia mtandao wa Us Weekly, hii ni baada ya rapa huyo kuona mzazi mwenzake Daohne Joy, ametajwa kama ‘Sex Worker” wa rapa Diddy ambaye anakabiriwa na kesi za kadhaa.

Shauri  la kesi ya kingono lilifunguliwa na aliyekuwa mtayarishaji wa diddy “Rodney Jones”  ambaye alimtaja rapa Yung Miami na Daphne Joy kama “Sex Workers” wa Diddy .

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *