Hivi karibuni Cristiano mchezaji wa klabu ya club Al Nassr, alitajwa kama ndio mtu wa kwanza Duniani kuwa na wafuasi wengi kwenye mitandao wa Instagram kwa kuwa na watu Milioni 600 wanaomfuatilia.
Hivyo basi nasisi tunakupa orodha ya wasanii wa Tanzania wenye wafuasi wengi kwenye mitandao huo.
Orodha kamili hii:-
1. Diamond Platnumz – 16M followers
2. Wema Sepetu – 10.8M followers
3. Hamisa Mobetto – 10.5M followers
4. Shilole – 10M followers
5. Jackline Wolper -9.7 M followers
6. Harmonize – 9.6M followers
7. Rayvanny – 9.4M followers
8. Alikiba – 9.2 M followers
9. Nandy -8.8 M followers
10. Aunty Ezekiel – 8.6M followers