Licha ya kuwa kwenye mahusiano muda mrefu na mwanadada Euxodie Yao, Grand P ameweka wazi kuwa ndoto yake ni kuoa wake wapatao wanne.
Grand P amesema hayo katika mahojiano aliyofanya na Prime Morning, kupitia Joy Prime ambapo alisisitiza kuwa atafanya hivyo kwa kuwa baba yake mzazi alimwambaia na kwao ni waislamu.