Categories

Do you have a Story?

Call us on 0677 644 444 to submit your news story or incident report!

Warembo mpo?!Grand P anataka kuoa wake wanne

Licha ya kuwa kwenye mahusiano muda mrefu na mwanadada Euxodie Yao, Grand P ameweka wazi kuwa ndoto yake ni kuoa wake wapatao wanne.


Grand P amesema hayo katika  mahojiano aliyofanya na Prime Morning, kupitia Joy Prime ambapo alisisitiza kuwa atafanya hivyo kwa kuwa baba yake mzazi alimwambaia na kwao ni waislamu.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *