Mastaa wa filamu kutoka Nchini India #kareenakapoorkhan na #SaifAliKhan pamoja na watoto wao kwasasa wapo kwenye Mbuga ya Wanyama ya Serengeti, iliyopo nchini Tanzania wakitaalii kama sehemu yao ya mapumziko.

#kareenakapoor ameshare picha akiwa kwenye hifadhi hiyo ya Serengenti katika ukurasa wake wa Instagram.
