Wakati kazi nzito ya kuondoa tope katika makazi ya watu na maeneo mengineyo katika mji mdogo wa Katesh wilayani Hanang mkoani Manyara likiendelea maji yanayosababishwa na mvua zinazoendelea kunyesha yanasababisha changamoto nyingine kutokana na maji kulainisha tope hilo.
Contact Us
P. O. BOX 71, Shinyanga, Tanzania
+255 766 408 253
info@jambofm.co.tz