Mahusiano yetu ni ya ukweli

Mwanadada Euxodie Yao, amefunguka kuwa mahusiano yake na Grand P ambaye ni msanii wa muziki ni ya ukweli na sio maigizo.

Yao ameongea hayo kupitia mahojiano aliyofanya na Prime Morning, kupitia Joy Prime ambapo alisisitiza kuwa anapenda kweli Grand P ila mwanaume huyo ni mtu wa wanawake wengi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *