VIDEO: Tamisemi kutekeleza maagizo ya Rais Samia

Waziri wa nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-Tamisemi) Mohamed Mchengerwa amesema kuwa Wizara hiyo imejiandaa vyema kutekeleza maagizo ya Rais Dkt Samia Suluhu Hassan aliyoyatoa akiwa wilayani Hanang mkoani Manyara alipotwatembelea na kutoa pole kwa wahanga,wa maporomoko ya tope katika mji mdogo wa Katesh.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *