Categories

Do you have a Story?

Call us on 0677 644 444 to submit your news story or incident report!

VIDEO: Mh Sumaye atoa maoni na Ushauri

Waziri mkuu Mstaafu Fredrick Sumaye ni miongoni mwa viongozi waliojitokeza katika viwanja vya shule ya msingi Katesh,Hanang Manyara kumpokea Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan

Mara baada ya kuisikiliza hotuba ya Rais akatoa maoni yake kuhusiana na hotuba hiyo pamoja na ushauri kwa Watanzania juu ya umuhimu wa utunzaji wa Mazingira.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *