Categories

Do you have a Story?

Call us on 0677 644 444 to submit your news story or incident report!

VIDEO: Rais Samia awatoa hofu waliopoteza vyeti kwenye mafuriko

Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan ametoa maelezo juu ya kinachopaswa kufanywa na wale wote waliopotelewa na vyeti vya elimu vilivyosombwa na tope kutoka katika mlima Hanang katika mji mdogo wa Katesh Mkoani Manyara.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *