Afisa Mtendaji wa Kijiji cha Ibanza Shinyanga, Tausi Simon Kabadi amesema serikali imepokea na kutatua mapema majanga ya mvua iliyonyesha na kuacha nyumba zaidi ya 60 zikiwa zimeanguka.
Ametaja changamoto ya lugha katika uwasilishaji taarifa kutoka kwa wahanga.