Usiku wa kuamikia leo staa wa muziki kutoka Afrika Kusini Tyla ameshinda tuzo yake ya kwanza ya Grammy kama “Best African Music Performance” kupitia wimbo wake wa “Water”.

Tuzo hizo zimefanyika Crypto.com Arena, Los Angeles, California, Marekani,ambapo alikuwa akichuwana na manguli kama Burna Boy na Davido,

Mrembo huyo anaweka historia kwenye Maisha yake kwa kushinda tuzo hiyo akiwa na miaka 22.