Fahamu magonjwa yanayoweza kutibika kwa kula bamia.


Bamia ni mboga maarufu hapa Tanzania, na watu wengi wamekuwa wakiichukulia mboga hiyo kama ya watu wenye uwezo mdogo kiuchumi.

Na haya ni magonjwa yanayotibika kwa kula mboga hiyo:-

Pumu:- Bamia ina Vitamin C ambayo inawafanya watoto wanaougua ugonjwa wa pumu, kupumua vizuri wanapotumia bamia. Nusu kikombe ya Bamia iliyopikwa huwa ina miligramu 13 ya vitamin C.

Msongo wa mawazo :-Bamia ni mboga bora zaidi kwa wale wanaoshambuliwa na msongo wa mawazo, unywaji wa kikombe kimoja cha supu yake huimarisha nguvu ya ufanyaji kazi wa ubongo

Hupunguza Chorestol mwilini na ni kinga dhidi ya Unene uliopitiliza.

Bamia inatibu vidonda vya tumbo:- Bamia husaidia kuweka utumbo kuwa na hali nzuri hivyo kupunguza uwezakano wa kuugua vidonda vya tumbo kwani inasaidia kusawazisha asidi mwilini.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *