Tanzania Music Awards 2024 kuonekana live BET na MTV

Kamati ya Tuzo za Muziki Tanzania TMA 2024 yenye jukumu la kuandaa matukio ya Tuzo za Muziki Tanzania imetangaza Rasmi uzinduzi wa tuzo hizo.

Na kwa mwaka huu Tuzo hizo zitatanguliwa na Usiku wa TMA Prelude, ambayo itafanyika tarehe 12 Juni 2024 ambapo ni zoezi la kuwaheshimisha ma shujaa wa sanaa na Juni 15, 2024 ndio zoezi la ugawaji tuzo zitakapofanyika

Kamati imebainisha kuwa kampuni kubwa Duniani ya Paramount Africa inayomiliki vituo vya TV vya BET & MTV BASE watashiriki kuonyesha matangazo yote ya ugawaji Tuzo hizo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *