Tanasha yupo Mjini kwa Diamond Platnumz

Za kunyapia ni kuwa baby mama wa Diamond Platnumz, Tansha Donna yupo Dar Es Salaam- Tanzania, na kubwa zaidi yupo nyumbani kwa Diamond akiwa na kijana wake Naseeb JR ambaye jana ilikuwa siku yake ya kuzaliwa akitimiza miaka minne.

https://www.instagram.com/jambofmtz/?img_index=1

Waswahi wanasema yupo Mjini kwani ameonekana na stylist wa Diamond, Noelgio na ameshare video wakiwa wote.

Kwa sasa bado wawili hao hawajaonekana pamoja ila kwa taarifa tu wapo wote na hivi karibuni Tanasha alimpa pesa na  zawadi  Mama mzazi wa Diamond.

Na jana usiku Diamond amshare video akiwa na famila yake na mtoto wake wakiangalia TV.

https://www.instagram.com/p/CxqASbQo9Sn/

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *