Ndoa ya Akothee na mzungu wake ‘chalii’

Ndoa ya mwimbaji kutoka Kenya, Akothee na Denis Schweizer ‘Omosh’ ambayo ilifungwa Aprili 2023 inadaiwa kupumulia gesi huku wengine wakidai imekufa..

Hii ni baada ya staa huyo kubadilisha wasifu wake katika mitandao wa Instagram kutoka Mrs.Schweizer hadi kurudi Akothee Kenya, ambapo pia akaongeza vyeo vingine ikijumuisha kampuni zake. Na pia inaelezwa mumewe hayupo nchini humo kwa muda mrefu na staa huyo hawana mawasiliano.

Hii ni ndoa ya tatu kwa msanii huyo wa muziki huyo ambaye ni mama wa watoto watano.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *