Aliyekuwa Gavana wa Nairobi, Mike Sonko alisherehekea siku ya kuzaliwa ya Rais mstaafu wa Kenya, Uhuru Kenyatta (62) kwa staili ya kipekee kwa kumzawadia mvinyo wa kiasi cha Ksh/=1,029,000 sawa na Tsh/=17,081,673.31.
Sonko alitinga kwenye duka hilo la mvinyo akiwa na
msafara wa Mercedes Benza, Sierra 1500 Pickup Lori, na Lexus 570 mbili na kununua aina sita za mvinyo, huku chupa moja ikiuzwa kuanzia Ksh 221,000 sawa na Tsh/= 3,668,658.70 kulingana na video alioweka mtandaoni.