Categories

Do you have a Story?

Call us on 0677 644 444 to submit your news story or incident report!

Tems kutupia jicho uigizaji

Katika mahojiano aliyofanya hivi karibuni na BBC Capital Xtra London, Tems ameweka wazi kuwa sio tu kuimba hata kuigiza yupo vizuri, ila suala la kuigiza sio kwa sasa.

“Niko tayari kuigiza sinema. Ila siko tayari kwa sasa, lakini niko vizuri katika uigizaji na nafasi ambayo ningependa kucheza kwenye filamu ni mama. Ila mama ambaye hana mume na anamaneno mengi ya mafumbo,” amesema staa huyo ambaye kwenye filamu ya Black Panther: Wakanda Forever ameshiriki kuandika ngoma ya ‘Lift Me Up’, aliyofanya mwanadada Rihanna.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *