Wakati J.Cole anaomba radhi kwa Kendrick Lamar, mkali wa Afro Beat kutoka Nigeria Rema aliamua kususia tamasha la Dreamville la 2024 ambalo limefanyika huko North Carolina siku ya jana Jumapili baada ya kuchukizwa udhaifu wa sauti(Sound) hivyo akaamua kuondoka jukwaani.
Rema alisepa wakati akianza kuimba wimbo wake wa Calm Down.