Rayvanny amelipa Bilioni 1 kundoka Wasafi

Staa wa muziki Rayvanny ameweka wazi kuwa amelipa mara mbili kiasi cha pesa alicholipa Harmonize wakati anajitoa lebo ya WCB Wasafi.

Rayvanny amefunguka hayo kupitia mahojiano aliyofanya nchini Kenya kupitia Radio Citizen.

Mwaka 2019 Harmonize alijiengua lebo ya Wasafi inayomilikiwa na Diamond Platnumz na alisadikika kuwa amelipa kiasi cha Milioni 500 iliaondoke.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *