Rapa Kid Cudi avunjika mguu akiwa kwenye tamasha

Rapa kutoka nchini Marekani, Kid Cudi ameeleza kwamba alivunjika mguu siku ya jana Aprili21,2024 akiwa kwenye tamasha la Coachella.


Mkali wa Hip Hop aliiruka jukwaani na kutua vibaya mguu wake mmoja, kabla ya kubebwa na wanausalama na kukimbiza hospitali,taarifa kuhusu kuumia kwake ameziweka kupitia ukurasa wake wa mtandao wa X.


Rapa huyo ameandika kwamba “Niondoke tu hospitalini. Sijawahi kuvunja mfupa hapo awali, kwa hii ni noma,” ameandika Rapa Cudi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *