Rais Samia Atengua Naibu Katibu Mkuu Nishati.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amemteua Dkt. James Peter Mataragio kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati.

Taarifa iliyotolewa na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu, Zuhura Yunus inasema Dkt. Mataragio aliwahi kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Mandele ya Petroli Tanzania (TPDC) na anachukua nafasi ya Bw. Athumani Selemani Mbuttuka ambaye uteuzi wake umetenguliwa na atapangiwa kazi nyingine.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *