Offset atoa ahadi nzito kwa mashabiki

Baada ya kuachia “Jealousy,” aliyomshirikisha mke wake, Cardi B, rapa Offset ametoa ahadi nzito kwa mashabiki zake kuwa kufikia Oktoba mwaka huu watapata albamu kutoka kwake!!

Hayo amebainisha kupitia mazungumzo ya hivi karibuni na Ebro Darden wa Apple Music 1,na kusema ngoma hiyo pia itakuwepo kwenye albamu hiyo ambayo itakuwa kali na yenye ubunifu mkubwa kwake na ngoma zake.

Mei 2022, rapa Offset alijitoa rasmi kwenye kundi la Migos lilokuwa likiunda na yeye, marehemu Quavo na Takeoff.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *