Categories

Do you have a Story?

Call us on 0677 644 444 to submit your news story or incident report!

Simba SC bingwa ngao ya jamii

Baada ya kwenda dakika 90‘ bila kufungana, Yanga na Simba  kwenye Ngao ya Jamii iliyochezwa, usiku huu kwenye Uwanja wa Mkwakwani-Tanga, hatimaye mchezo huo umekamilika kwa mikwaju ya Penati ambapo Simba amepata 3, Yanga 1

Yanga mshindi wa Pili

Azam mshindi wa tatu

Singida FG mshindi wan nne.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *