Categories

Do you have a Story?

Call us on 0677 644 444 to submit your news story or incident report!

Niliacha chuo sababu ya ushirikina- Oxlade

Staa wa muziki Oxlade, ameweka wazi aliacha kumalizia masomo yake ya mwaka wa mwisho katika Chuo Kikuu cha Lagos (LASU) kwa sababu ya washirikina kumzonga zonga kila mara.

“Wakati nipo zangu chuo, siku zote nilikuwa kanisani nikisoma Biblia na vitabu. Ila nikaacha chuo katika mwaka wangu wa mwisho kwasababu wenzangu walikuwa wakijaribu kunishawishi nijiunge na genge lao la kuabudu mashetani,” amesema Oxlade wakati wa mahojiano na Tea with Tay Podcast.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *