Categories

Do you have a Story?

Call us on 0677 644 444 to submit your news story or incident report!

Huddah Monroe asimulia alivyonusurika kifo

Mwanamitandao Huddah ,kutoka nchini Kenya, amesimulia tukio la mwaka 2018 ambalo aliwekewa dawa za kulevya na wanawake watatu ambapo walikuwa na lengo la kumdhuru ila waliemtuma amfanyie unyama akageuka mokozi.

“Tangu ninyweshwe dawa za kulevya mwaka 2018. Na kujikuta nikipoteza fahamu kwa siku 3 mfululizo na chaajabu waliofanya hivi ni wanawake 3 ambao walijifanya watakatifu mtandaoni. Mtu waliyemtuma kunidhuru si alinipenda kupita kiasi, basi akaokoa maisha yangu kwa kuwaita madaktari ambapo alipambana kunipa chakula na dripu za IV,” Huddah amesimulia

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *