
Kwa mujibu wa tafiti iliyofanywa na mitandao wa World Economic Forum, mwaka 2020-2021 hizi ndizo nchi 10 Duniani zinazowalipa vizuri walimu wake kwenye mishahara.
1. Luxembourg: $109,204 (Sawa na 254,663,728)
2. Germany: $91,041 (212,307,612)
3. The Netherlands: $81,064 (Sawa na 189,041,248)
4: Canada: $71,664 (Sawa na TZS 167,120,448)
5.Australia: $65,714 (Sawa na TZS 153,245,048)
6.United States: $65,248 (Sawa na TZS 152,158,336)
7. Mexico: $64,491 (Sawana TZS 150,393,012)
8. Denmark: $64,259 (149,851,988)
9. Ireland : $62,906 (Sawa na TZS 146,696,792)
10. Austria : $62,882 (Sawa na TZS 146,640,824) .
Na kwa upande wa Afrika, kwa mujibu mitandao wa Operamin umetaja orodha ya nchi tatu kutoka Afrika zinazoongeza kulipa vizuri waliamu ambazo ni 1). Afrika Kusini, 2). Misri na 3) Equiltorial Guinea.
Kwa upande wa Afrika Mshariki kwa mujibu wa Salary Explorer.com, nchini Kenya walimu hulipwa vizuri zaidi ambapo huweza kulipwa hadi KES 116,000 (Sawa na TZS 2,252,389.66) kwa mwezi.