Mwakinyo: Viongozi wa ngumi igeni TFF

Bondia mashuhuri nchini, Hassan Mwakinyo, amesema viongozi wa Kamisheni ya kusimamia ngumi za kulipwa Tanzania (TPBRC), wanapaswa kuiga mfano wa viongozi wa Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania (TFF) kwenye kuziwesha timu zao za nyumbani kufikia malengo.

Mwakinyo amesema:”Kuna wakati natamani viongozi wetu wa ngumi wangekuwa wana iga mifano kwa watu wa TFF namna ambavyo. wao wamekuwa msaada kuchangia kuwezesha” team za nyumban kufika nafasi Ambazo ni sura ya nchi na sio kwa mabondia Ambao nyakati zote tumekuwa tukijisimamia na kujisaidia wenyewe.

Bondia huyo ana rekodi ya kucheza mapambano 24 ameshinda 21 na kupoteza 03, mapambano 14 akiyashinda kwa njia ya KO na TKO, akiwa nafasi ya 70 Kidunia kwenye uzito wake wa Super Welterweight.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *