Jeshi la Polisi ya Jimbo la Lagos wamemkamata muuguzi aliyekuwa akimtibu Mohbad, kabla ya kifo chake.
Mwigizaji wa Nollywood, Iyabo Ojo, amesema hayo kupitia video fupi aliyoweka mtandaoni na kubainisha amepata taarifa hizo baada ya kumtembelea Kamishina wa Jimbo hilo, Bwn. Idowu Owohunwa.