Muuaji waTupac Shakur apanda kizimbani

Mshukiwa wa muuaji wa Tupac Shakur yaliyofanyika mwaka 1996 kwa kumpiga risasi amepandishwa kizimbani kwa mara ya kwanza katika Mahakama ya Nevada, Las Vegas nchini Marekani siku ya Jumatano wiki hii.

Duane “Keffe D” Davis, (60) alikuwa mshukiwa anayejulikana kwa muda mrefu katika kesi hiyo na alikiri hadharani kuhusika kwake katika mauaji hayo katika mahojiano na Compton Street Legend”, 2019. Ni miaka takribani 26 sasa tangu Tupac apigwe risasi akiwa kwenye gari maeneo ya Las Vegas mnamo Septemba 7, 1996.  Tupac alikuwa na miaka 25.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *