Nyota wa NBA hatoi matunzo kumbe

Nyota wa NBA, Tristan Thompson anashutumiwa kutotoa pesa za matunzo ikiwemo ada ya shule kwa mtoto wake wa kwanza aitwaye Prince (6).

Haya yamebainishwa na Dadake Jordan Craig, Kai Craig, kupitia ukurasa wake wa instagram kwa kuweka wazi kuumizwa na jinsi mwanaume huyo anavyotoa sapoti ya malezi kwa familia nyingine (Khole Kardashian ambaye ana watoto naye wawili) na kutomjali kwa chochote mpwa wake Prince.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *