Mume wa rapa Nicki Minaj, Kenneth Petty, amehukumiwa kifungo cha siku 120 nyumbani kwake kwa kosa la kumtishia maisha maisha mume wa Cardi B, Offset kwenye mitandao ya kijamii.
Amri hii imetolewa na Mahakama ya Kati ya California siku ya Jumatano. Julai 2022, Petty alihukumiwa kifungo cha miaka mitatu baada ya kukiri hatia ya kukosa kujiandikisha kama mhalifu wa ngono katika jimbo la California mnamo 2020.