Categories

Do you have a Story?

Call us on 0677 644 444 to submit your news story or incident report!

Mikoa 15 imepewa tahadhari ya uwepo wa mvua kubwa

Mikoa 15 imepewa tahadhari ya uwepo wa mvua kubwa inayotarajiwa kunyesha ambayo inayoweza kusababisha athari ya mafuriko.

Mikoa iliyotajwa ni pamoja na Kagera, Geita, Mwanza, Shinyanga, Tabora, Kigoma, Katavi, Dodoma, Singida, Rukwa, Mbeya, Songwe, Njombe, Iringa na Kusini mwa Mkoa wa Morogoro.

Taarifa iliyotolewa na TMA, imesema mvua hiyo inaweza kuleta kiwango cha wastani cha athari ikiwamo mafuriko na baadhi ya maeneo kuzungukwa na maji na kuharibu shughuli za kiuchumi.

Aidha, taarifa imesema mvua ilitarajiwa kunyesha kwa siku tatu kuanzia Disemba 27 2023, hadi Disemba 29 ,2023 katika mikoa hiyo na kuwambukusha wananchi kuchukua tahadhari na kujiandaa kwa kununua mahitaji ya muhimu na kuweka ndani.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *