Amber Rose ajiachia na Chris Rock

Muigizaji wa filamu Chris Rock na Amber Rose wameanza kukaa midomoni mwa watu huku wakidaiwa kuwa ni wapenzi.

Jumatatu hii wawili hao walinashwa wakiwa kwenye mtoko huko Mjini New York, wakipita kwenye maduka mbalimbali kabla ya kwenda walipofikia pamoja ambapo walikula Christmas.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *